KWA NEEMA NA REHEMA
Saturday, July 11, 2020
Sunday, December 8, 2019
UPSF KWAYA
Upsf kwaya inakuletea wimbo mzuri kabisa inayosema
"NANI ATAKAYE SIMAMA"
Vijana kuwa tayari kumtumikia Bwana .
MUNGU WETU ANASTAHILI KUABUDIWA.
UPSF KWAYA MOYO
Habari njema kwa njia ya nyimbo za injili
pata nyimbo kwa waimbaji mahiri kabisa ndani ya upsf
Pata nakala yako popote pale ulipo CD zipo.Friday, December 6, 2019
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZA OUTREACH
Kwa matukio mbalimbali yanayofanyika ndani na nje ya mkoa wa Morogoro.
Haya hapa ni baadhi ya picha ya tukio kubwa kabisa uliyofanyika katika uwanja wanging'ombe Makambako Njombe.
Mikutano ya nje huleta hamasa kubwa sana kwa watu Kumjua Kristo Yesu kuwa Bwana na uzima wa milele.
Hapa tunakuwa na makundi mbalimbali wakimtumikia Bwana kwa nguvu zao kwa fahamu zao kwa mali zao na kwa mioyo yao.
Kwa mengine zaidi usiache kutotufatilia katika blog yetu na Yesu atakubariki usisahau kusubscribe kushare na follower.
Thursday, December 5, 2019
Wednesday, December 4, 2019
UPSF KWAYA
karibu upate kusikiliza nyimbo nzuri zenye uwepo wa Mungu hakika itakutoa sehemu moja hadi nyingine
je unajua hili jinsi Mungu anavyokuzunguka mbele na nyuma ebu sikiliza hii hapa.
je unajua hili jinsi Mungu anavyokuzunguka mbele na nyuma ebu sikiliza hii hapa.
Friday, June 2, 2017
Siku Ya uchaguzi wa Entire Leaders of The Fellowship
Ex-Entire chaiperson MUSSA SULEIMAN Akimkabidh Fellowship New Entire Chairperson ABEL SIMON
siku ya overnight katika kanisa la Bethel Revival Temple Mwembesongo
Subscribe to:
Posts (Atom)
NAMES OF UPSF LEADERS 2020/2021
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE UNIVERSITY PENTECOSTAL STUDENTS’ FELLOWSHIP E-mail: upsfsua@...
-
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE UNIVERSITY PENTECOSTAL STUDENTS’ FELLOWSHIP E-mail: upsfsua@...
-
Ex-Entire chaiperson MUSSA SULEIMAN Akimkabidh Fellowship New Entire Chairperson ABEL SIMON siku ya overnight katika kanisa la Be...
-
FURAHII NDANI YA YESU Nataka nikujue Yesu wewe ni wa dhamani sana Kwangu Pata habari njema kanzi nzuri sana jionee mwen...
-
Habari njema kwa watu wote na mataifa yote Upsf kwaya inakuletea wimbo mzuri kabisa inayosema "NANI ATAKAYE SIMAMA...
-
Kwa matukio mbalimbali yanayofanyika ndani na nje ya mkoa wa Morogoro. Haya hapa ni baadhi ya picha ya tukio kubwa kabisa uliyofa...








