Friday, December 6, 2019

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZA OUTREACH

Kwa matukio mbalimbali yanayofanyika ndani na nje ya mkoa wa Morogoro.





  Haya hapa ni baadhi ya picha ya tukio kubwa kabisa uliyofanyika katika uwanja  wanging'ombe Makambako Njombe.


Mikutano ya nje huleta hamasa kubwa sana kwa watu Kumjua Kristo Yesu kuwa Bwana na uzima wa milele.
Hapa tunakuwa na makundi mbalimbali wakimtumikia Bwana kwa nguvu zao kwa fahamu zao kwa mali zao na kwa mioyo yao.

Kwa mengine zaidi usiache kutotufatilia katika blog yetu na Yesu atakubariki  usisahau kusubscribe kushare na follower.






Wakati wa kumwabudu Mungu.


Wakati wa kumsifu Mungu.


Huduma kwa watoto.







No comments:

Post a Comment

NAMES OF UPSF LEADERS 2020/2021

             SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE UNIVERSITY PENTECOSTAL STUDENTS’ FELLOWSHIP                        E-mail: upsfsua@...