Sunday, December 8, 2019

UPSF KWAYA


 Habari njema kwa watu wote na mataifa yote 

 Upsf kwaya inakuletea  wimbo mzuri kabisa inayosema 


"NANI ATAKAYE SIMAMA"


Vijana kuwa tayari kumtumikia Bwana .



MUNGU WETU ANASTAHILI KUABUDIWA.


UPSF KWAYA MOYO

Habari njema kwa njia ya nyimbo za injil

pata nyimbo kwa waimbaji mahiri kabisa ndani  ya upsf

Pata nakala yako popote pale ulipo  CD zipo.



       


Friday, December 6, 2019

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZA OUTREACH

Kwa matukio mbalimbali yanayofanyika ndani na nje ya mkoa wa Morogoro.





  Haya hapa ni baadhi ya picha ya tukio kubwa kabisa uliyofanyika katika uwanja  wanging'ombe Makambako Njombe.


Mikutano ya nje huleta hamasa kubwa sana kwa watu Kumjua Kristo Yesu kuwa Bwana na uzima wa milele.
Hapa tunakuwa na makundi mbalimbali wakimtumikia Bwana kwa nguvu zao kwa fahamu zao kwa mali zao na kwa mioyo yao.

Kwa mengine zaidi usiache kutotufatilia katika blog yetu na Yesu atakubariki  usisahau kusubscribe kushare na follower.






Wakati wa kumwabudu Mungu.


Wakati wa kumsifu Mungu.


Huduma kwa watoto.







Wednesday, December 4, 2019

UPSF KWAYA

karibu upate kusikiliza nyimbo nzuri zenye uwepo wa Mungu hakika itakutoa sehemu moja hadi nyingine
je unajua hili jinsi Mungu anavyokuzunguka mbele na nyuma ebu sikiliza hii hapa.

NAMES OF UPSF LEADERS 2020/2021

             SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE UNIVERSITY PENTECOSTAL STUDENTS’ FELLOWSHIP                        E-mail: upsfsua@...